MSIBA KWA WAPENZI WA RADIO IMAN

Na Selemani Ramadhan

Inalillahi wainailayhir Raajiuun

Habari zilizotufikia hivi punde kutoka katika chanzo cha uhakika kabisa ni kwamba Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imevifungia vituo viwili vya Radio ikiwemo Radio Iman ya mjini Morogoro na Radio kwa Neema kwa muda usiopungua miezi sita huku Radio Clouds FM ya jijini Dar Es Salaam ikipewa onyo na kutakiwa kulipa faini katika kipindi cha mwezi mmoja.
Sababu za kufungiwa:
- Kwa Neema FM Mwanza: Sababu ni kushabikia maswala ya uchinjaji Mwanza
- Radio Iman FM Morogoro: Kushabikia watu kutoshiriki Sensa 2012
- Clouds FM: Kushabikia ushoga & kuendesha kipindi kisichofuata maadili (Jicho la Ng’ombe)
Share on Google Plus

About Mahamoud Salum

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.