BUNGE LA KATIBA LAAHIRISHWA GHAFLAMwenyekiti wa bunge maalum la katiba amelazimika kukiahirisha kikao cha bunge isivyo kawaida baada ya wajumbe wa bunge hilo Kuhoji kitendo cha kukatwa ghafla kwa matangazo yanayorushwa moja kwa moja kupitia shirika la utangazaji la taifa TBC1 wakati mjumbe wa kamati namba nne alipokuwa akitoa ufafanuzi wa maoni ya waliowachache bungeni humo huku baadhi ya wajumbe wa kamati namba tatu nao wakimkataa mwenyekiti wao kusoma maoni ya waliowachache.
Share on Google Plus

About Kabuga Kanyegeri

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.