DAR LIVE YABOMOLEWA

Askari wa Jiji wabomoa Sehemu Ndogo ya Ukumbi wa Dar live uliopo Mbagala Jijiji Dar es Salaam na eneo la Pembeni, lengo ni kuhakikisha majengo na biashara zote zinafanyika katika maeneo yaliyo idhinishwa.
Vijana  Wakichukua Mabaki ya Miti Baada ya Bomoa Bomoa Pembeni ya Ukumbi wa Dar Live Mbagala ZakheemShare on Google Plus

About Mahamoud Salum

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.