LORI LAPINDUKA KWA KUIKWEPA BAJAJI JIJINI DSM.

                               Lori likiwa limekatisha barabara kwa kumzidi dereva na kupinduka.

      Lori  lenye nambari za usajili T 812 BQL lilipindukia mtaloni leo mchana maeneo ya Tabata Gereji.
Kwa mujivu wa dereva wa Lori hilo aliyetambulika kwa jina la Hamis Razack (24) alizidiwa maarifa pindi alipokuwa akijaribukuikwepa bajaji iliyokuwa ikikatisha barabara. Lori hilo lilikuwa limeunganisha tela lenye                                                        nambari ya usajili T 738 ASH.

Dereva wa Lori hilo Bwa. Hamis Razack akiwa anatoka kwenye gari akiwa salama.
Wananchi wakiwa wanashangaa jinsi gari hilo lilvyo pinguka kwa kuhama kutoka upande mmoja wa bara bara na kuhamia upande wapili wa barabara mpka kutumbukia katika dampo la takataka.


Share on Google Plus

About Mr. Lulela

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.