MORAGORO YAITUNUKU BANK YA CRDB KOMBE KWA KUCHANGIA MAENDELEO YA MKOA HUO.

Mkurugenzi wa Wateja Binafsi na wa Kati wa Benki ya CRDB, Nelia Ndosa kushoto na Mkurugenzi wa benki hiyo Mkoa wa Morogoro Pendo Issey katikati wakiwa wameshikilia kombe kwa furaha walilokabidhiwa na Mkuu wa Mkoa wa Moorogor, Bw. Joel Bendera hayupo pichani wakati wa utoaji wa tuzo za Heshima za Uluguru, kulia ni mfanyakazi wa benki hiyo.

 Mkurugenzi wa Wateja Binafsi na wa Kati wa Benki ya CRDB, 
            Bi. Nelia Ndosa akizungumza na waandishi wa habari. Picha ya juu                                           yake ni vikombe vya CRDB.
Share on Google Plus

About Mr. Lulela

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.