MWANASAYANSI AGUNDUA MIWANI YA AJABU

Mwanasayansi kutoka nchini Japan, amegundua miwani ambayo ikivaliwa, mvaaji akimtazama mtu usoni ana uwezo wa kujua mhusika anachofikiria.

Inasemekana miwani hiyo inatoa taarifa sahihi kabisa.

Gharama za uzalishaji wa miwani hiyo ni dola 290 za kiamerika.Kwa mujibu wa taarifa hiyo, miwani hiyo itaanza kuzalishwa kwa wingi hivi karibuni.


CHANZO: JF 

Share on Google Plus

About Kabuga Kanyegeri

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.