NGUVU YA MAPENZI: KIDUME ATEMBEZWA BARABARANI KAMA MBWA AKINYENYEKEA PENZI


Jana mwanamke mmoja alionekana akimtembeza mwanaume mmoja kama mbwa katika viunga vya Faringdon mjini London.


Tukio hilo la ajabu liliwashangaza watu na kujiuliza kwa nini mwanaume huyo maridadi aliyevalia vizuri alikuwa akitambaa nyuma ya mwanamke huyo ambaye hakutambulika mara moja.

Share on Google Plus

About Kabuga Kanyegeri

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.