BALOZI WA FINLAND NCHINI AMTEMBELEA WAZIRI WA NISHATI NA MADINI OFISIN KWAKE.

 Baloz wa Finland nchini Mhe. Sinikka Antila akisaini kitabu cha wageni katika ofisi ya Waziri wa                         Nishati na Madini Profesa Sospetere Muhongo mara baada ya kuwasili.

     Balozi wa Finland nchini Sinikka Antila (kulia) akizungumia jinsi nchi yao ilivyopiga hatua             hususani katkia sekta ya Nishati pamoja na utayari wa nchi hiyo kushirikiana na Tanzania                                                   katika kuimarishasekta ya Nishati na Madini. 

      Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Sospeter Muhongo akisisitiza jambo katika kiko hicho. Kati ya maswalayaliyojadiliwa ni pamoja na ushirikiano baina ya Tanzania na Finland katika maswalaya teknolojia,uendelezaji wa rasilimali na usimamizi wa Fedha.

Share on Google Plus

About Mr. Lulela

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.