BASI LA DAR EXPRESS LAPATA AJALI ENEO LA WAMI.

Ajali imetokea mida ya saa nne karibu na wami kutokea dar es salaam, gari ni kampuni ya dar express iliyokua ikielekea nairobi.
Abiria wengine wamenusurikana na kutoka ila kuna majeruhi wachache ambao haijajulikana bado kama kuna aliyefariki.

Share on Google Plus

About Mr. Lulela

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.