HATIMAE WASHINDI WA TSH. MILLION (50) WAPATIKANA JANA TAREHE 18.04.2014.   Bahati Muriga mshindi wa Mama Shujaa wa Chakula 2014 akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya Tzshs. Milioni 25 aliyoshinda kwa ajili ya vifaa vya kilimo. Kutoka kulia ni Babu wa kijiji, Epheta Msiga wa DMB na Mkamiti Mgawe kutoka Oxfam.

   Mshiriki Boniphace Meng'anyi Nyakena akipokea mfano wa hundi ya Tzshs. Milioni 25 alizoshinda katika msimu huu. Kutoka kulia ni Mkurugenzi Mkazi wa Oxfam Jane Foster, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika Yamungu Kuyandabila, Babu wa kijiji, mwakilishi kutoka Datavision International pamoja na Epheta Msiga ambaye ni afisa mradi wa Maisha Plus kutoka kampuni ya DMB.

 Mshindi wa Maisha Plus Boniphace Meng'anyi Nyakenaakiwa naBahati Muriga mshindi wa Mama Shujaa wa Chakula 2014

 Mkurugenzi Mtendaji wa DMB ambao pia ni waandaaji wa shindano la Maisha Plus Masoud Ally (Kipanya) akiwa anatoa Miongozo mbalimbali wakati wa Sherehe hizo za kumpata mshindi wa Maisha Plus Na mama Shujaa wa Chakula 2014.

Mkurugenzi Mkazi wa Oxfam Tanzania Jane Foster akitoa Hotuba yake wakati wa Fainali za kumpata mshindi wa Maisha Plus na Mama shujaa wa Chakula 2014

  washiriki wa Maisha Plus wakiwa katika Picha ya pamoja.Share on Google Plus

About Mr. Lulela

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.