HIFADHI YA RUAHA YAPONGEZWA KWA USIMAMIZI MZURI WA MRADI WA SPANEST NA MKUU WA UNDP DUNIANI HELEN CLARK.

Mkuu wa TANAPA Allan Kijazi wa  tatu kushoto akiwa na Mkuu wa shirika la mpango la  Maendeleo  la umoja  wa  Mataifa (UNDP ) Helen Clark wa pili kulia na Mratibu wa SPANEST Bw  Godwell ole Meing'ataki na mratibu wa UNDP Afrika  Paul Harrison  kulia nyuma yao ni gari lililotolewa na UNDP.
Mkuu wa shirika la mpango la  Maendeleo  la umoja  wa  Mataifa (UNDP ) Hellen Clark kulia  akizungumza na askari  wanaopambana na majangili  hifadhi ya Taifa ya Ruaha  Iringa juzi tarehe 12.04.2014.

Simba  akiwa amelala kando ya barabara wakati mwandishi wa BBC Tanzania  Aboubakari Famau akimpiga  picha katika hifadhi  ya taifa ya Ruaha mkoani Iringa  wakati wa ziara ya mkuu wa UNDP duniani Helen Clark alipotebelea  hifadhi hiyo juzi tarehe 12.04.2014.

Mambo  akiwa  langoni mwa hifadhi ya Ruaha mkoani Iringa.
Picha na Francis Godwin.
Share on Google Plus

About Mr. Lulela

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.