KAMBI YA MAISHA PLUS YATEMBLEWA NA WAKE WA VIONGOZI.

            Mlezi wa chama cha Wake wa Viongozi New Mellinium Women Group mama Tunu Pinda         akiwaongoza akina mama wenzeke kulekea katika kambiya Maisha Plus, nyuma yake ni mke           wa Makamu wa Rais Zakia Bilali. Akina mama hao walifika katika kambi hiyo iliyopo                    Bagamoyo mkoa wa Pwani ili kujionea shughuli zinazofanywa na washiriki wa Maisha Plus.

         Mke wa Makamu wa Rais Zakia Bilal akiwa na mlezi wa chama cha Wake wa Viongozi  New          Mellinium Women Group mama Tunu Pinda pamoja  na Katibu wa chama hicho mama                    Pamela Mathayo wakiangalia shamba lamfano ambalowashiriki wa Maisha plus wanaliandaa.

    Mke wa makamu wa RaisZakia Bilal akiwasha jiko la ges ikiwa niishara ya uzinduzi wa mtambo wa ges inayotokana na kinyesi cha Ng'ombe uliotengenezwa nawashiriki wa Maisha Plus, kulia kwake ni mlezi wa chama cha Wake waViongozi New Millinium Women Group mamaTunu Pinda wakiwa na Wake wengine wa Viongozi wakishudia uzinduzi huo uliofanyika katika kambi ya                                           Maisha Plus iliyopo wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani.   Wanachama wa Wake wa Viongozi New Melinium Women Group wakiwa katika picha ya               pamojana na shiriki wa Maisha Plus   wa hapa nchini na wa nje ya nchi ya Tanzania pamoja na                                                         waandaaji wa Maisha Plus.Share on Google Plus

About Mr. Lulela

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.