KAMPUNI YA PUMA ENERGY TANZANIA YAZINDUA VILAINISHI VYA CASTROL NA KITUO CHA MAFUTA CHA OYSTERBAY, DSM.

       Walioko mbele kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya kampuni ya PUMA Energy            Tanzania, Dkt. Ben Moshi na  Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya PUMA Energy                    Tanzania, Bw. Phillipe Corsaletti wakiwa na wageni waalikwa wakati wa uzinduzi            wa Vilainishi vya Castrol vilivyoendana na uzinduzi wa kituo kipya cha Mafuta                                                         kilichopo Oysterbay jijini Dar es Salaam.

       Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya PUMA Energy Tanzania, Bw. Phillipe            Corsaletti akionyesha picha ya sanamu itakayotumika kutambulisha vilainishi vya             Castrol wakati wa uzinduzi wa Vilainishi vya Castrol vilivyoendana na uzinduzi wa kituo kipya cha Mafuta kilichopo Oysterbay jijini Dar es Salaam. Pembeni yake ni Mshereheshaji                                                               Shebe Machumani.
Share on Google Plus

About Mr. Lulela

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.