MAJESHI YA MAREKANI KUWASILI NIGERIA WIKI HII KUWASAKA MABINTI WALIOTEKWARais Goodluck Ebele Jonathan wa Nigeria ameukaribisha na kuukubali msaada kutoka Marekani katika juhudi zinazoendelea za kuwasaka na kuwakomboa wasichana waliotekwa kutoka katika shule moja ya sekondari kaskazini mwa nchi hiyo wiki tatu zilizopita.


Pendekezo la msaada huo kutoka kwa Rais Barack Obama lililowasilishwa kwa Rais Jonathan na Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani, John Kerry katika mazungumzo kwa njia ya simu, linajumuisha kutumwa kwa askari na zana mbalimbali ili kushirikiana na askari wa Nigeria katika operesheni hiyo.
Share on Google Plus

About Kabuga Kanyegeri

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.