MFANYAKAZI HODARI NA WAFANYAKAZI BORA WA WIZARA YA MAMBO YA NJE WAKABIDHIWA VYETI.

 Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu, Bw. Dushhood Mndeme akijiandaa kutaja majina ya Wafanyakazi Bora wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akiwemo Mfanyakazi Hodari  wakati wa Kikao cha 8 cha Baraza la Wafanyakazi kilichofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Waliokaa ni Katibu Mkuu na Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi, Bw. John Haule (mwenye miwani), Naibu Katibu Mkuu, Balozi Rajabu Gamaha (wa kwanza kulia), Katibu wa Baraza la Wafanyakazi, Bw. Cosato Chumi (mwenye tai nyekundu) na Naibu Katibu wa Baraza la Wafanyakazi na Bi.                                                                                   Asya Hamdani.
Katibu Mkuu akimkabidhi Cheti Mfanyakazi Bora wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa, Bi. Rose Kitandula.
Katibu Mkuu akimkabidhi Cheti Mfanyakazi wa Kada ya Makatibu Muhtasi , Bi. Faith Masaka.

Katibu Mkuu akimkabidhi Cheti Mfanyakazi Bora wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu, Bi. Gloria Mboya.
        Katibu Mkuu na Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi, Bw. Haule akimkabidhi Cheti              Mfanyakazi Hodari wa Wizara Bw. Bujiku Sakila kutoka Idara ya Afrika.
Katibu Mkuu akimkabidhi Cheti Mfanyakazi Bora wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali, Bw. Ally Kondo.


Share on Google Plus

About Mr. Lulela

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.