PAPA FRANCIS AWASILI PALESTINA

Papa Francis akipungia mkono umati wa watu wakati akiwasili kwenye Uwanja wa Hori kabla ya kuongoza misa ya wazi leo Mei 25, 2014 nje ya Kanisa la mahali alipozaliwa Yesu Kristo katika mji wa Bethlehem kwenye Ukingo wa Magharibi. Papa Francis amewasili Bethlehem kuanza sehemu muhimu sana ya ziara yake ya siku tatu katika eneo la Mashariki ya Kati inayolenga kuhamasisha amani na katika eneo hilo.

Papa Francis akiwa katikati ya umati wa watu wakati akiwasili kwenye Uwanja wa Hori kabla ya kuongoza misa ya wazi leo Mei 25, 2014 nje ya Kanisa la mahali alipozaliwa Yesu Kristo katika mji wa Bethlehem kwenye Ukingo wa Magharibi. Papa Francis amewasili Bethlehem kuanza sehemu muhimu sana ya ziara yake ya siku tatu katika eneo la Mashariki ya Kati inayolenga kuhamasisha amani na katika eneo hilo.

Papa Francis (wa nne kulia) akiwa amesimama pamoja na makasisi wakati akiongoza misa ya wazi kwenye Uwanja wa Hori leo Mei 25, 2014 nje ya Kanisa la mahali alipozaliwa Yesu Kristo katika mji wa Bethlehem kwenye Ukingo wa Magharibi. Mjini Bethlehem ndipo Papa Francis anatarajiwa kuanza sehemu muhimu sana ya ziara yake ya siku tatu katika eneo la Mashariki ya Kati inayolenga kuhamasisha amani na katika eneo hilo.

Papa Francis akiongoza misa ya wazi kwenye Uwanja wa Hori leo Mei 25, 2014 nje ya Kanisa la mahali alipozaliwa Yesu Kristo katika mji wa Bethlehem kwenye Ukingo wa Magharibi. Papa Francis alitoa wito wa kukomeshwa kwa mgogoro wa muda mrefu baina ya Palestina na Israeil, akiwataka viongozi kuonesha “ujasiri” ili kufikia amani kwa msingi wa suluhisho la mataifa mawili.

Papa Francis akiwasili kuongoza misa ya wazi leo Mei 25, 2014 kwenye Uwanja wa Hori nje ya Kanisa la mahali alipozaliwa Yesu Kristo katika mji wa Bethlehem kwenye Ukingo wa Magharibi. Papa Francis alitoa wito wa kukomeshwa kwa mgogoro wa muda mrefu baina ya Palestina na Israeil, akiwataka viongozi kuonesha “ujasiri” ili kufikia amani kwa msingi wa suluhisho la mataifa mawili.

Papa Francis (katikati) akiongoza misa ya wazi leo Mei 25, 2014 kwenye Uwanja wa Hori nje ya Kanisa la mahali alipozaliwa Yesu Kristo katika mji wa Bethlehem kwenye Ukingo wa Magharibi. Papa Francis alitoa wito wa kukomeshwa kwa mgogoro wa muda mrefu baina ya Palestina na Israeil, akiwataka viongozi kuonesha “ujasiri” ili kufikia amani kwa msingi wa suluhisho la mataifa mawili.Watu wakihudhuria misa ya wazi iliyoongozwa na Papa Francis leo Mei 25, 2014 kwenye Uwanja wa Hori nje ya Kanisa la mahali alipozaliwa Yesu Kristo katika mji wa Bethlehem kwenye Ukingo wa Magharibi. Papa Francis amewasili Bethlehem kuanza sehemu muhimu sana ya ziara yake ya siku tatu katika eneo la Mashariki ya Kati inayolenga kuhamasisha amani na katika eneo hilo. Nyuma ni bango linaloonesha picha za Constantinople Bartholomew I (kulia), Papa Francis (kushoto) na Rais wa Palestina Mahmud Abbas (katikati)Papa Francis (katikati) akimbusu rais wa Palestina Mahmud Abbas wakati wa misa ya wazi eo Mei 25, 2014 kwenye Uwanja wa Hori nje ya Kanisa la mahali alipozaliwa Yesu Kristo katika mji wa Bethlehem kwenye Ukingo wa Magharibi. Papa Francis alitoa wito wa kukomeshwa kwa mgogoro wa muda mrefu baina ya Palestina na Israeil, akiwataka viongozi kuonesha “ujasiri” ili kufikia amani kwa msingi wa suluhisho la mataifa mawili.

Watawa wakipunga mikono wakati walipohudhuria misa ya wazi iliyoongozwa na Papa Francis kwenye Uwanja wa Hori leo Mei 25, 2014 nje ya Kanisa la mahali alipozaliwa Yesu Kristo katika mji wa Bethlehem kwenye Ukingo wa Magharibi. Mjini Bethlehem ndipo Papa Francis anatarajiwa kuanza sehemu muhimu sana ya ziara yake ya siku tatu katika eneo la Mashariki ya Kati inayolenga kuhamasisha amani na katika eneo hilo.

Papa Francis na rais wa Palestina Mahmud Abbas (kushoto) wakikagua gwaride la heshima walipowasili kwenye viwanja vya ikulu kwa dhifa ya kitaifa  leo Mei 25, 2014 katika mji wa Bethlehem kwenye Ukingo wa Magharibi. Papa Francis amewasili Bethlehem kuanza sehemu muhimu sana ya ziara yake ya siku tatu katika eneo la Mashariki ya Kati inayolenga kuhamasisha amani na katika eneo hilo.

Bendera ya Palestina ikipepea wakati watu walipohudhuria misa ya wazi iliyoongozwa na Papa Francis  kwenye Uwanja wa Hori leo Mei 25, 2014 nje ya Kanisa la mahali alipozaliwa Yesu Kristo katika mji wa Bethlehem kwenye Ukingo wa Magharibi. Papa Francis amewasili Bethlehem kuanza sehemu muhimu sana ya ziara yake ya siku tatu katika eneo la Mashariki ya Kati inayolenga kuhamasisha amani na katika eneo hilo.

Picha iliyotolewa na idara ya habari ya Vatican ikimuonesha Papa Francis akisali kwenye ukuta uliojengwa na Israel kuwatengenisha na Wapalestina leo Mei 25, 2014 baada ya kusimama ghafla eneo kwenye ukuta huo wenye urefu wa mita nane ambao juu yake kuna walinzi wanaoulinda. Papa Francis amewasili Bethlehem kuanza sehemu muhimu sana ya ziara yake ya siku tatu katika eneo la Mashariki ya Kati inayolenga kuhamasisha amani na katika eneo hilo.Share on Google Plus

About Kabuga Kanyegeri

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.