RAIS APANDA DALADALA KWENDA KAZINIRais wa zamani wa Iran, Mahmoud Ahmadinejad, aliyemaliza muhula wake wa uongozi mwaka jana anaripotiwa kurudi kwenye taaluma yake ya ufundishaji.

Kwa mujibu wa taarifa kutoka gazeti la Serbia News, inasemekana Rais huyo aliyekuwa mashuhuri wa misimamo yake husafiri katika basi la abiria kuelekea kazini kwake ambapo anafundisha kwenye Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia. Ahmadinejad ana shahada ya uzamivu – Ph.D-  ya uhandisi.


Share on Google Plus

About Kabuga Kanyegeri

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.