RAIS KIKWETE AONGOZA HARAMBEE KANISA LA KKKT BUMBULI.

         Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifurahia wimbo wa wanabumbuli mara baada ya kuwasili katika ukumbi  wa Hotel ya Golden Tulip kwa ajili ya harambee ya kuchangia ujenzi wa kanisa la Kilutheri la Bumbuli, Kushoto ni askofu mkuu wa KKKT Dr.Gerhas  Malasusa, Watatu Kulia ni Dkt.Steven Munga wa Lushoto na kulia ni mbunge wa Bumbuli ambaye pia ni Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na teknolojia Mh.January Makamba Katika harambee  hiyo zaidi ya Shilingi milioni mia tatu zilipatikana.

         Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Naibu waziri Mawasiliano Sayansi na Technolojia na mbunge wa Bumbuli January Makamba wakati wa harambee ya kuchangia ujenzi wa kanisa la Bumbuli Shughuli hiyo imefanyika katika Hotel ya Golden Tulip leo(Ijumaa) Tarehe.16.05.2014
                                                                     (picha na Freddy Maro).                   
Share on Google Plus

About Mr. Lulela

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.