SIKUKUU YA WAFANYAKAZI KATIKA PICHA

SONGEA
Wanafunzi wa Chuo cha VETA Songea wakipita mbele ya jukwaa kuu huku wakionyesha mavazi wanayoshona chuoni hapo ikiwemo mavazi la maharusi na ya ulimbwende.

DAR ES SALAAM
Wafanyakazi wa magazeti ya serikali wa Tanzania Standard Newspapers ltd. (TSN) wachapishaji wa Daily News, Habari Leo na Sunday News wakipita kwa bashasha mbele ya mgeni rasmi karika sherehe za Mei Mosi mwaka huu katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam wakiwa na mabango na magazeti yao mkononi.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wengine wakiwapungia wana TSN wakati wanapita mbele yao. Rais ndiye Editor-in-Chief (Mhariri Kiongozi) wa magazeti ya serikali.

MWANZA
Wafanyakazi wa idara ya maliasili wakiingia uwanjani CCM Kirumba siku ya wafanyakazi (May mosi).
Wafanyakazi wa Hospitali ya Bugando wakielekea kuingia kwenye matembezi ya mshikamano katika kusheherekea siku ya Wafanyakazi kwenye Viwanja vya CCM Kirumba.


Share on Google Plus

About Mr. Lulela

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.