WENGER BAADA YA KUTWAA FA CUP ASEMA HANG`ATUKI ASERNAL.

Lukas Podolski akimlowesha kwa bia bosi wake, mzee  Wenger baada ya ya kutwaa kombe la FA.
KOCHA wa Arsenal, mfaransa,  Arsene Wenger sasa anatarajiwa kusaini mkataba mpya baada ya kufuta ukame wa miaka 9 bila kombe kufuatia kutwaa kombe la FA juzi tarehe 17.04.2014 kwa kuifunga 3-2 Hull City katika mechi ya fainali iliyopigwa dimba la Wembley.

         Wachezaji wa Arsenal akiwemo Aaron Ramsey (kulia), wakiwa wamebeba kombe lao mbele                                                 ya mashabiki, juu ni magari ya Arsenal yakizungua jiji laa London
Share on Google Plus

About Mr. Lulela

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.