TANZANIA YAPANDA KATIKA VIWANGO VYA FIFA

 


Tanzania imepanda kutoka nafasi ya 122 hadi nafasi ya 113 kwa mujibu wa orodha ya FIFA iliyotolewa jana.


Kwa nchi za Afrika Mashariki Uganda inaongoza ikifatiwa na Kenya Wakati barani Afrika nchi ya Algeria imeibuka Kinara.
Share on Google Plus

About Kabuga Kanyegeri

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.