BARCELONA YAITUNGUA GETAFE 6 MTUNGI, MESSI, SUAREZ, NEYMAR KAMA KAWA

Barcelona imeonyesha imepania kumaliza La Liga kwa kasi ya kimondo na kubeba ubingwa baada ya kuitwanga Getafe kwa mabao 6-0.


Kama kawaida shukurani kwa Luis Suarez aliyefunga mabao mawili, Lionel Messi mawili na Neymar aliyefunga moja na Xavi Harnandes akamalizia moja.

Kwa ushindi huo Barcelona imefikisha pointi 84 na kuzidi kujichimbia kileleni huku Real Madrid wanaowafuatia wakiwa na 79 lakini pungufu mchezo mmoja.


Share on Google Plus

About Mahamoud Salum

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.