Spika Anne Makinda ziarani nchina China

 Spika akiwa katika ziara ya maeneo kadhaa ya kiteknolojia katika kampuni ya Huawei.Spika yuko nchini China kwa ziara ya namba ya kulifanya Bunge la Tanzania kuendeshwa kiteknolojia zaidi
 Mtaalam wa kampuni ya Huawei akitoa maelezo ya masuluhisho kadhaa ya Bunge Mtandao (e-parliament solutions) kwa Mhe Spika na ujumbe wake.
 Mhe Spika Anne Makinda akizungumza na Makamu wa Rais wa Kampuni ya  Huawei, Li Dafeng kuhusu mambo kadhaa ya kiteknolojia ya Kibunge ambayo hufanywa na kampuni hiyo duniani.
Spika akimkabidhi Makamu wa Rais wa kampuni ya Huawei,Li Dafeng zawadi ya picha ya kuchora ya jengo la Bunge. Picha zote na Saidi Yakubu wa Ofisi ya Bunge.
Share on Google Plus

About Mahamoud Salum

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.