ABBAS AACHIA UONGOZI WA PLO

Palestinian President Mahmoud Abbas (AFP)
Rais Mahmoud Abbas wa Palestina


Rais wa Palestina Mahmoud Abbas amejiuzulu wadhifa wake wa mkuu wa kamati kuu ya Chama cha Ukombozi wa Palestina (PLO).

Zaidi ya nusu ya wajumbe wa kamati hiyo yenye wajumbe 18 nao pia wamejiuzulu. Shirika la habari la AFP limemnukuu afisa wa PLO, Wassel Abu Yussef, akithibitisha hilo bila kutoa maelezo ya ziada.

Yussef ameongeza kuwa Baraza la KItaifa la Palestona limepanga kukutana ndani ya kipindi cha mwezi mmoja kuteua kamati kuu mpya.


Share on Google Plus

About Kabuga Kanyegeri

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.