ALICHOKISEMA ZITTO KUHUSU AHADI YA MIL 50 KWA KILA KIJIJI
“Sera ya kumwaga tshs 50m kwa kila kijiji ni moja ya sera za kutawanya ufisadi nchini. Wakati hatujui mabilioni ya JK yaliishia wapi na hata taarifa ya CAG kuhusu fedha hizi kufichwa zinakuja hizi za kugawa hovyo hovyo. Mpango huu unapaswa kupingwa na kila Mtanzania. Tanzania ina zaidi ya vijiji 12,000 na hivyo fedha zitakazorushwarushwa hovyo ni tshs 600 bilioni. Zitatoka wapi? Tukatae ubabaishaji huu kwenye uchumi wa nchi yetu. Watanzania wanataka Hifadhi ya Jamii ili wapate Afya bure na mafao mengine.”


 SOURCE: https://www.facebook.com/zittokabwe
Share on Google Plus

About Kabuga Kanyegeri

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.