KESI YA PROFESA LIPUMBA YAFUTWA RASMI


Kesi iliyokuwa inamkabili aliyekuwa Mwenyeketi wa CUF Profesa Ibrahim Lipumba na baadhi ya wafuasi wa chama hicho kwa kosa la kuandamana bila kibali imefutwa hii leo katika Mahakama ya hakimu mkazi kisutu jijini Dar es salaam.

Itakumbukwa kuwa kesi hii ilitakiwa kusomwa Januari 15.2016, ikarudishwa nyuma na kusikilizwa leo asubuhi ambapo imefutwa rasmi.


Share on Google Plus

About Kabuga Kanyegeri

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.