JESHI LA POLISI LIMEPIGA MARUFUKU MIKUTANO YA NDANI YA VYAMA VYA SIASA

 


Jeshi la Polisi limepiga marufuku mikutano ya ndani ya Vyama vya Siasa kufuatia matukio ya kihalifu katika maeneo mbalimbali nchini. "Mikutano ya ndani inatumika kuhamasisha watu kuvunja sheria za nchi na kupambana na Askari kuanzia leo Jeshi la Polisi linapiga marufuku mikutano ya ndani pia". Alisema CP Nsato Marijan.
Share on Google Plus

About Kabuga Kanyegeri

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.