UNITED YAMALIZANA NA POGBA

Manchester United imekamilisha usajili wa Paul Pogba uliovunja rekodi kwa kitita cha £100 milioni.

Kiungo huyo ghali zaidi duniani kwa sasa amewasili akitokea Juventus, kuungana na klabu ambayo aliiacha mwaka 2012.

Pogba, 23, anatarajiwa kuvaa jezi namba 6 na amesaini kitita cha £290,000 kwa wiki, mkataba wa miaka 5 chini ya Jose Mourinho. Pia ana uhuru wa kuongeza mwaka mwingine zaidi.

Paul Pogba poses in a Manchester United shirt for the first time since returning after completing his move on Tuesday night
Paul Pogba katika jezi ya Manchester United kwa mara ya kwanza baada ya kukamilisha uhamisho wake.

The French star is known for his eccentric hairstyles and has this time shaved part of the United club badge into his hair
Nyota huyo wa Ufaransa ni maarufu kwa mitindo ya nywele zake na mara hii ameweka nembo ya klabu ya United katika mtindo wa nywele zake.

  

Share on Google Plus

About Kabuga Kanyegeri

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.