HALIMA MDEE AFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU LEO

 


Mbunge wa Kawe, Halima Mdee amefikishwa katika ukumbi wa wazi wa Mahakama ya Kisutu asubuhi hii akisubiri kesi yake.

Mdee, alikamatwa na Polisi siku sita zilizopita kwa amri ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ali Hapi kwa madai ya kumkashifu Rais John Magufuli.


Hapi aliagiza Mdee akamatwe na kuwekwa ndani kwa saa 48 kwa makosa hayo pamoja na ya uchochezi.
Share on Google Plus

About Kabuga Kanyegeri

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.