PIGO KWA MANJI, AVULIWA UDIWANI

Yusuf ManjiYUSUF Manji, diwani wa CCM katika Kata ya Mbagara, amevuliwa udiwani kutokana na kushindwa kuhudhuria vikao vitatu mfululizo bila sababu za msingi.

Taarifa zinasema, Manji amevuliwa wadhifa huo kufuatia kukaidi kuhudhuria vikao hivyo.

Kwa sasa, Manji yuko mahabusu ya Segerea akituhumiwa kwa makosa mbalimbali, yakiwamo kutumia madawa ya kulevya na kukutwa na sare za jeshi.


Taarifa zinasema, Manji alipoteza sifa ya kuwa diwani kabla ya kukamatwa. Tangu kuwa diwani amehudhuria kikao kimoja tu.
Share on Google Plus

About Kabuga Kanyegeri

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.